Ugunduzi wa magonjwa mbalimbali kama ugonjwa wa kaswende, Rubella nk mapema kabisa ili muathirika apate tiba haraka
Kufanya kipimo cha Ultrasound, CT, MRI, mapema ili kuweza kugundua kama mtoto ana kilema chochote katika maumbile, hii itasaidia kupanga na kumhudumia mapema zaidi ili kudhibiti tatizo.