Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumpima uwezo wake wa kiakili mara kwa mara ili kujua ni mahitaji gani ya shule muathirika anahitaji. Kupima mara kwa mara ni njia sahihi kwani wengi hupata nafuu au huonesha maendeleo mazuri na hivyo mahitaji kubadilika kadri muda unavyokwenda
 
Kubadilisha mfumo wa maisha (health lifestyle) kula lishe bora, kufanya mazoezi, kujihudumia, kupunguza msongo wa mawazo kwa wenye upungufu wa akili
Ushauri nasaha mara kwa mara au kuhudhuria program maalum za ushauri nasaha na mambo ya kijamii
 
Kuwafanyia uchunguzi kama wananyanyaswa kijinsia kama kubakwa nk. Watu wenye upungufu wa akili mara nyingi hubakwa na hivyo kuwafanya kuwa wakali au kuwa na hasira. Daktari anahitajika kugundua anapoona ishara hii kwa mgonjwa wakati wa kumpima.
 
IMG-20171216-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom