Hofu iliyopitiliza haina kinga. Hata hivyo kuna baadhi ya mambo ambayo husaidia sana kupunguza makali ya dalili za tatizo hili. Mambo hiyo ni pamoja na:
Upungufu wa kumbukumbu (deficits in memory skills)
Matatizo katika kufahamu mambo ya kijamii
Upungufu wa uwezo wa kutatua matatizo
Kuchelewa kukua kwa tabia za vitendo vya kujihudumia mwenyewe (kama kufunga vifungo vya shati nk)
Kuendelea kuwa na akili za kitoto
Kupungua uwezo wa kusoma
Lack of social inhibitors
Kushindwa kufikia vigezo vya ukuaji wa kiakili
Kushindwa kumudu masomo shuleni
Lack of curiosity
Utambuzi wa Upungufu wa Akili Utambuzi wa upungufu wa akili huusisha
Historia ya mgonjwa – Kuhusu mazingira ya sehemu anayoishi, matumizi ya madawa ya aina yoyote, historia ya magonjwa ya akili, tabia ya awali na ya sasa ya mgonjwa, tiba aliyowahi kupata kuhusu ugonjwa wa akili, jinsi familia na wahudumu ya afya wanavyomchukulia kuhusu hali yake na nk.
Vipimo vya uchunguzi – Vipimo vya ugonjwa wa kaswende, Rubella, Toxoplasmosis, Cystomegalo virus, Herpes simplex, vipimo vya mkojo (kuangalia phenylketonuria), kipimo cha EEG kama amewahi kupata degedege, vipimo vya damu na nk.
Vipimo vya saikolojia - The Bayley Scales of Infant Development, The Stanford-Binet Intelligence Scale, The Wechsler Intelligence Scale for Children-III, and The Wechsler Preschool and Primary Scale of Intelligence-Revised.
Vigezo vinavyotumiwa na tabibu wa magonjwa ya akili kutambua mgonjwa wa upungufu wa akili kwa watoto {DSM IV (diagnostic and statistical manual) for mental retardation coded on AXIS II (paediatrics)}
IQ ya 70 au chini yake wakati mgonjwa anafanyiwa kipimo cha akili (IQ test). kwa mtoto mchanga, hupimwa uwezo wa ufanyaji kazi kwa vipimo vya kliniki (clinical judgement)
Kutokuwa na uwezo au upungufu katika kujihudumia mahitaji yake ya kimaisha kutokana na umri wake au utamaduni wake, kuwepo kwa angalau vigezo viwili kati ya hivi basi mgonjwa ndio anatambuliwa kuwa na upungufu wa akili, vigezo hivyo ni kama vifuatavyo;
a. Kushindwa kuwasiliana na watu,
b. Kushindwa kujihudumia katika suala zima la usafi, mavazi, chakula (self care) na kushindwa
c. Kuishi nyumbani
d. Kujumuika na watu
e. Kutumia huduma za jamii
f. Kutokuwa na muelekeo (self direction)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.