Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1539779728723.png
 
VISABABISHI VYA KUWA NA WEUSI KATIKA SEHEMU ZA MAPAJA ,KWAPA NA SEHEMU ZINGINE.

1. Msuguano kati ya sehemu mbili kwa muda mrefu.
Hii ni hali ambayo inawatokea sana watu ambao unakuta viungo vyao vimekaribiana sana hasa mapaja na husuguana na wengine hupelekea kupata maumivu makali sana na kuwapelekea kutumia nguo ndefu za ndani kupunguza msuguano huo
ELIMU NZURI SANA HII
 
2. Unene kupita kiasi
Pia hii ni hali ambayo huwatokea watu wa namna hii baadhi, kwa sababu ya uzito kuongezeka bila sababu na kupelekea sehemu hizo kuwa na msuguano mkali sana.

3. Matumizi mabaya ya deodorant spray

Watu wengi wanaotumia deodorant spray hasa zenye aluminium salt zinaziba vitundo vya ngozi na hatimaye ngozi yako kutopumua vizuri na hatimaye kuidhuru ngozi yako. Weusi wa namna hii unapatikana sana ktk kwapa.
SAWASAWA
 
4. Matumizi ya vipodozi vikali

Watu wamekuwa wakisumbuka kwa hali na mali kuondoa hio hali na wamekuwa wakijitahidi kwa namna yoyote kuondoa hio hali.
Lakini sasa matumizi ya vipodozi vikali vinaweza kuharibu sana na kuongeza tatizo kwa kuangamiza [melanocytes] ambazo ndizo seli zinazotengeneza melanin kiini kinachoipa ngozi rangi yake kiuhalisia
KWELI
 
5. Vichocheo kuvurugika
Watu wengi wenye vichocheo vilivyo vurugika unaweza ukamtambua kuwa ana hormone imbalance kwa dalili hii. Na wengi wapo katika kundi hili, unakuta ana ndevu,kwapa nyeusi na mapaja meusi na hadi kupelekea shingo nyeusi sana. Kumbuka homoni imbalance inatokea kwa wote mwanaume hata mwanamke.
Hivyo ukitaka kumsaidia tatizo hili ,hakikisha unarekebisha vichocheo vyake.
SAWASAWA
 
Back
Top Bottom