Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni kweli. Historia muhimu...japo makaburi pia huficha mengi tusiyoyapenda yaonekane tena !!!Bila kukumbuka ulikotoka utasahau njia jirani😀😀😀😀
Ni kweli. Historia muhimu...japo makaburi pia huficha mengi tusiyoyapenda yaonekane tena !!!Bila kukumbuka ulikotoka utasahau njia jirani😀😀😀😀
Wa Zanzibar hao siwafahamu kwa kweli. Dagaa wa kigoma wakikaangwa kidogo wakaungwa vizuri weee. Ugali utakaoangamia hapo utashangaa.
Kuna kaukweli aisee. Beche na nyama siku ya sikukuu aisee hakuna kucheza mbali [emoji16][emoji16][emoji16]
kweli...tunapitia yaliyofurahisha..Ni kweli. Historia muhimu...japo makaburi pia huficha mengi tusiyoyapenda yaonekane tena !!!
Sina uhakika kama unaweza kupika ugali wa Kisukuma aisee. Utaadhirika bure tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahha...nilikuwa Natania ni wakigoma...ila kwa kuwapenda huko....bakia huko kwako...
Acha nijilie mwenyewe....nisije kurudi jikoni
wakusoma nanyi poleni sana
akutane na pole yake hukohuko...Uniq yuko safarini kuelekea Tukuyu. Sijui ni ishu za shule au mambo ya biashara hatujui [emoji16][emoji16][emoji16]
Sina uhakika kama unaweza kupika ugali wa Kisukuma aisee. Utaadhirika bure tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]