Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Something big,pitia ule uzi utaelewa bro. Upo habari na hoja mchanganyiko
Haya asante. Watu tunaishi maisha ya siri tukifanya mambo ya ajabu japo huku nje tunataka tuonekane tu watakatifu tuliokamilika. Mambo kama haya yanapotokea pazia linakuwa limefunguliwa. Mungu Atupe ujasiri wa kuweza kuishi tukiaminicho hata kama hakiwapendezi wengine. Na kama tuko genuine mbele ya macho ya Mungu basi upendo na neema yake vyatosha. Apumzike salama huyu kijana. Kafa mapema sana na si ajabu babake alikuwa ndiyo anamwandaa kumrithisha huduma yake yenye upako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…