😂😂*Kwa mtu anayelipwa mshahara wa 2.5m kwa mwezi, Bilioni 1 ni mshahara wa zaidi ya miaka 30. Brother& Sisters, bora tu uombe likizo tu ukamtafute MO Dewij*
Tia neno basi tujue demu wa taifa kakumbwa na nini?
Wema ana miaka mingapi kwa sasa? Ifike mahali aache haya mambo sasa. Nawapenda sana mastaa wakubwa wa nje. Wakiona muda umeenda wanaolewa wanazaa na kutulia (Alicia Keys, Christina Aquilera, Faith Hill......). Lakini hawa wa kwetu hawa mhhh !!!
Natamani Jiwe angetia neno kuhusu hili janga huko Kagera
30 years huwa hafikishagi huyuWema ana miaka mingapi kwa sasa? Ifike mahali aache haya mambo sasa. Nawapenda sana mastaa wakubwa wa nje. Wakiona muda umeenda wanaolewa wanazaa na kutulia (Alicia Keys, Christina Aquilera, Faith Hill......). Lakini hawa wa kwetu hawa mhhh !!!
Wamejenga Ihungo vizuri sana bila shaka na hii wataikarabati...Natamani Jiwe angetia neno kuhusu hili janga huko Kagera