Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

When you wanted to send an sms to ur wife saying "i love you" & it mistakenly went to your landlady & she responds with "l've been holding myself for too long, i love you too &
please stop paying rent.
 
jirani siku hizi unamwachia simu mdada anaposti huyo!!!!!
Numbisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiran bana
 
Sema marehem naye alikuwa na moyo na mapenzi sana kwa bidada.
Tatizo hawa maslay kwini wetu wanataka ku maintain status zao kwenye macho ya watu,na naona wengi wanatamani maisha ya mama machache hawajui bahati ya mtu hailaliwi mlango wazi.

Ila nawaza je angeweza kuwa mama mchungaji??
Ila jamaa alikua na hela ukichanganya na za mzee,sema tu bibie alitaka maisha flan makubwa ya kushow off mitandaon na jamaa mzito kwa hayo mambo basi lugha gongana.

Asingeweza kabisaaa.cheki lipstic anayopaka na kukoleza sidhan kama angekubali kusimamishwa majukwaan kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom