Duh!! hii sasa sifawapi hii mkuu.....
Hapana Norway walahituko Haiti hapa
Beautiful walahi
Kuna mifume dume mingine inatumia haya MANENO vibaya na wanajipakia mi laana tu walahiMiaka 20 iliyo pita.
Alinifundisha "umama" (upendo) kwa kila mtu hata kama simjui.
Mimi bila UMAMA ni bure kabisaView attachment 901226
Aisee!!! Nimekulia mitaa hiyo.