[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiran kapenda jana ulivyoandika kuhusi kende
Aisee"Kofia na Kiatu kimoja cha MO kilivuka. MO Katika kuona anazidiwa alidondosha funguo ya gari yake na simu (naamini kuwa alidondosha funguo ya gari makusudi ili watu wachukue gari kukimbiza watekaji). Bahati mbaya hapakuwa na mtu aliyethubutu kuwakimbiza watekaji wale"@zittokabwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli walahiHuu uzi una watu wawili wanafurahisha. Ukiona comment za isis huko nje burudani tupu hasa ile ya ptuuuuu la uso walahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu nae vipi mkuu!!?
picha Ya mtoto wangu imefikaje mikononi mwako !!?
HaswaaSalama mkuu.
Nimeumia zaidi maana uwanja waliokuwa wanacheza ni kama ule ule tulio cheza sisi.
😀😀 Hakika watakuona kama umeenda kufanya vichekeshoHalafu midume hata tukibakwa na mademu zetu tunauchuna tu eti kuogopa aibu mbele ya jamii. Kama kufanya birthday tu jana moto ukawaka tukatukaniwa mpaka makende yetu imagine ndo ujitokeze eti umeenda jukwaa la jinsia au mahakamani kulalamika umebakwa na Ashura?