Madiba [emoji1434].
Hao ni wasukuma laivuUkisema ni wanyakyusa sitabisha
Kabisaa binti alitaka maisha nje ya kanisaYawezekana jamaa alikuwa analinda status ya mzee wake,na malezi aliyolelewa hizo show offs za kina lily asingeweza.
Naona aliwaza kuitwa mama wa kanisa anaona hapana kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]swali yake balaaYaani cole sijui huwa anawaza nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binti kaharibikiwa,bangi mbayaHalafu kesho utasikia mond kapasha kiporo,wema bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe mnajuanaUkisema ni wanyakyusa sitabisha