Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Duuh hii nayo kali sanaWasafiri na mawakala wa mabasi mikoani katika stendi mpya mjini Tabora wameingiwa na wasiwasi baada ya kutokea kuku chini ya uvungu wa mabasi yaendayo Mbeya ambaye hakuwa na manyoya huku akiwa amefungwa hirizi nyekundu.
SOURCE *ITV*View attachment 901405