Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ngozi ni kama kiungo kingine chochote mwilini, na mara zote iko kwenye mchakato wa kukua upya, kila siku , kila mwezi ili kusaidia tishu zilizoko kuifanya iwe imara na yenye afya.

Kuna vurutubisho ambavyo vinasaidia kuiweka ngozi yako vizuri na kuwa ya kuvutia kila siku, navyo ni ;
 
1.Maji.

Maji yanasaidia ngozi yako kuwa hydrated muda wote, yanasaidia mwonekano wa ngozi yako kuwa na afya na mng’aro mzuri, huondoa makunyanzi ukavu kwenye ngozi, maji yanasaidia kuondoa visumu vilivyoko ndani ya mwili.
 
2.Vyakula vyenye vitamini ya kutosha.

vyakula kama Omega 3s, mafuta mazuri, vyakula vyenye vitamini D, vitamini A, husaidia ngozi yako kuwa nzuri na mwili wako kuondokana na magonjwa mbalimbali. ngozi inakuwa na unyevu nyevu na inakuwa laini na yenye kupendeza
 
5.AMINO ACID.

Hakikisha unapata vyakula vya protini kwa wingi, hasa vile vyenye kuwa na amino acid , kama vile kwenye karanga, mboga za majani yaliyo kijani kabisa, matembele . majani ya maboga, spinachi, mbegu za alizeti, mbegu za maboga. maharage, kunde na njegere.
 
Vulnerary herbs.



Ngozi inahitaji msaada hasa pale unapopata kidonda kutokana na ajali au kujikata ,tumia vulnerary herbs inasaidia kuponya ngozi kwa haraka na kuziba kabisa makovu na alama . vyakula hivyo ni kama hivyo hapo juu . tangawizi, mdalasini, karafuu. pilipili mtama, aina zote za karanga tee tree na vinginevyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…