[emoji23][emoji23][emoji23], kuku angeanza kuwafanyia wao utafiti badala ya kufanyiwa yeye.
Duuu, watu wanakunya kama kuku mpaka wafanyiwe kampeni !!![emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hiyo ndiyo njia moja ya kuzalisha taifa la ukichaa. Subiri tuoneCanada inakua nchi ya kwanza ktk G7 kuhalalisha bangi kuanzia leo.Kila familia itaruhusiwa kupanda hadi miche minne ya bangi na kila mtu ataruhusiwa kutembea na bangi isiyozidi gramu 30.