myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
HatariDuuh hii nayo kali sana
[emoji23][emoji23][emoji23], kuku angeanza kuwafanyia wao utafiti badala ya kufanyiwa yeye.Wangemkamata wamfanyie kajiutafiti kidogo
MajigoWest Africa. Huyu kazidisha na halimpendezi kabisa. It is actually gross
View attachment 901122
Yamekwiva kabisaamkuu mkuu mananasi hayo...
Mwenyewe nasubiri hapa ila usikonde ntakushtua naona anasubiri mida ya watoto wakilalaAkifika kwenye nanii nitag[emoji23][emoji23][emoji23]akili yangu imewaza mbali
😀😀😀Matunda ndo yameisha?
Acha maskhara basi[emoji23][emoji23]
Hahahah sasa unaenda wapi?Hata ndizi na matango hajataja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hajazitendea haki hisia zetuIla naona kama somo limeisha vile[emoji23]
Kitambi noma
Tafuta tafuta basi na matunda mengineNimemalizaaaa