Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama jamii na tamaduni zetu zinavyopendelea kuona watu wenye nguvu na mafanikio kuwa sio rahisi wao kulia , kwanini , kwa sababu wanaonekana hawana shida, na hawako kwenye list ya watu wenye sifa hio. jamii inaona kulia ni udhaifu , kama huna tatizo na unafanya vitu sahihi haina sababu ya kulia.

Watu wanaolia sana huonekana kama ni watu wenye hisia kali, na inawezekana kuwa ni kweli. lakini hawa watu wanahesabika. hapa kuna sababu kwa nini mara nyingi wana nguvu kiakili kuliko mwonekano.
 
1.Ni wenye Afya.



Ukichukulia hisia za chini sio afya kwa yeyote, ukiwa kwenye msongo wa mawazo jamii inaona ni vizuri kwenda sehemu ya sherehe ili kuondokana na hali hio, kwa sababu bila ya kuondoa hio hali ya msongo, kutakusababishia matatizo, kama vile mshtuko wa moyo na presha kupanda.

kwa hio kulia kunasaidia kuondoa msongo wa mawazo, kuuweka mwili na akili yako ikae vizuri, kulia pia inasaidia kushusha kiwango cha sukari kilichoongezeka.
 
2. Wana Furaha.



Watu wasio lia hata kama kumetokea tatizizo wao hugugumia ndani kwa ndani, mara nyingi utawaona wana huzuni. lakini wale watu wanaolia sana mara zote utawaona wana furaha hawana huzuni. wote tunazo sababu za kulia kwenye hatua zetu za maisha. wale watu wanaolia huondoa maumivu moyoni mwao na kusonga mbele.
 
3.Ni Wajasiri.

Iwe unaamini kwamba kulia ni nguvu au udhaifu, haikataliwi, hio ni changamoto, huwapata watu wenye ujasiri kuonyesha hisia zao mbele za watu, kwa sababu kwa kujua au kutojijua wao wenyewe, lakini wanaondoa maumivu mioyoni mwao. maana ni hatari kukaa na tatizo moyoni.

Kutokana na hali ngumu ya mazingira yaliopo wakati huo, kulia kwao inasaidia kuondoa hatari. nani atasema kulia ni udhaifu.?
 
FB_IMG_1539518022507.jpg
 
4.Ni Wawasilishaji Bora.



Picha huwa ni kitambulisho hata bila maneno mengi.Na ninaamini ushindi katika kulia. watu wanaolia wanawasilisha kupitia machozi na ukweli unapatikana, kwa kuwa maana halisi ya picha iliopo ndani ya mioyo yetu inajionyesha.na huu ndio uwezo wa wao wa kuwasilisha kwa njia ya machozi.
 
5.Wana Mahusiano Mazuri.

Mazingira ndio huunganisha watu na kuleta hatua nyingine ambayo itamfanya mtu aweze kulia, kumkubali mtu ndani ya moyo wako ni kuondoa hali ya uwazi uliokuwepo. kwa hio watu wanaolia , panapotokea tatizo gumu kwa marafiki wanaoaminika na wakweli , machozi huwatiririka , na hio huwaunganisha zaidi .
 
6.Wanakuwa Wakweli Na Waaminifu.

Machozi ni halisi. kama vile unavyoona yanavyoanguka mashavuni mwako, huwezi kuyazuia bali ni kukubaliana na hisia. kulia sio tu ujasiri bali ni uaminifu unaotokana na moyo. watu wanaolia mara nyingi huonyesha ukweli. kama kuna atakae waelewa roho zao itawaongoza kuwa na maisha ya uaminifu.
 
7.Wana Uelewa Mzuri.

Wale wanaolia mara nyingi huwa na tabia ya kujitambua hali yao.hutafuta kuelewa hisia zao. kujitambua ni hatua ya mafanikio kupitia uzoefu unaofanya kazi ndani ya akili zao na mioyo yao. Ni ukweli wale wasio lia ni wagumu kuwaelewa hisia zao.
 
8.Wana Uzoefu Unaotosha Kwenye Maisha.

Katika maisha kuna kupanda na kushuka, hakuna mtu anaeweza kupita bila ya uzoefu wa mahangaiko na furaha kwa kila kitu na kipindi chake. watu wanaolia mara nyingi iwe machozi ya furaha au machozi ya huzuni, wana uwezo wa kuhisi na kuona aina gani ya maisha yaliopo kwa wakati huo.

Kupata shida na kupata furaha vyote huenda mkono kwa mkono, kwa hio unaweza kuwa na mojawapo lakini bado ukawa na uzoefu wa maisha ya watu wengine. watu wanaolia wana sifa ya kukabilana na kila hali na kukataa kinachoharibu, lakini hukubali kile chenye faida.
 
Haijalishi wewe ni wa jinsia gani, aina ya utu au matatizo katika maisha, ni rahisi kuona faida nzuri ya kulia.

kama unahitaji kuona mwenye afya na akili yenye nguvu ya ukamilifu, Achia machozi yatoke Usiyazuie.
 
5.Walnuts na Ubongo.



Inashangaza kuona vyakula baadhi jinsi vinavyofanana na sehemu ya mwili , kama walnut inafanana kabisa na ubongo wa human being. inasaidia mikunjo na kasoro kwenye mwonekano , imekusanya Omega 3, fatty acid inayotegemeza afya ya ubongo ili kufanya kazi vizuri na pia ina vitamini E.
Matunda ndo yameisha?
Acha maskhara basi[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom