capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kwa Doc inaonekana umekufa umeoza. Bro wangu kazi anayo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Doc mie ni mgonjwa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ray Kigosi bado mweupe au alisharudia hali yake ya kawaida?1.Maji.
Maji yanasaidia ngozi yako kuwa hydrated muda wote, yanasaidia mwonekano wa ngozi yako kuwa na afya na mng’aro mzuri, huondoa makunyanzi ukavu kwenye ngozi, maji yanasaidia kuondoa visumu vilivyoko ndani ya mwili.
Hawezi rudi nyuma ni mbele kwa mbeleRay Kigosi bado mweupe au alisharudia hali yake ya kawaida?
Hizi see through haaimaanishi unaweza kuona uhalisia.
Mf. wa image za see through camera
View attachment 901948View attachment 901953
Asante bro. Baada ya kujielimisha, hitimisho lako ni lipi? Ni nzuri hizi kamera ama? Wewe utakuwa comfortable kufotolewa nazo airport?
Bro; nawe ni timu ubuyu? [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]EXCLUSIVE: Wait a sec, Khloé Kardashian cheated on Tristan Thompson months ago... with ex French Montana! [emoji33][emoji33]
View attachment 901921
Her mom cost John McCain the presidency. The most pathetic choice of a running mate evaaaa !!!Bristol Palin is making her grand return to television and is joining the cast of #TeenMomOG!
View attachment 901913
Jirani we ni mchawi?unafanya nini makaburini huko??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]duh! jirana.......
hujambo? mambo ya zamani jirani
Bia zimemnenepesha eeh!?A positive outing. Jennifer Garner and Ben Affleck attended a church service amid the #Batman star’s ongoing treatment for his battle with alcoholism.
View attachment 901881
Yaani huyu doc acha tu,huwa anausuuza moyo wangu[emoji7][emoji7][emoji7]Kwa Doc inaonekana umekufa umeoza. Bro wangu kazi anayo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
sina kazi jirani..nazunguka tuJirani we ni mchawi?unafanya nini makaburini huko??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
wapi hiyooo
Wewe pia ni serikali [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi serikali na vyombo vyake wanatuonaje?
Acha kuzunguka makaburini basisina kazi jirani..nazunguka tu