Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1539870597858.jpg
 
43631759_311090512811994_2323063617270870664_n.jpg




LEO MIAKA 11 BAADA YA KIFO CHA MWANAMUZIKI LUCKY DUBE
-
Siku kama ya leo mwaka 2007 mwanamuziki nguli wa miondoko ya Rege, Lucky Philip Dube maarufu kwa jina la Lucky Dube aliuawa kwa kupigwa risasi
-
Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya mwanamuziki huyo kuwapeleka watoto wake wawili kwa Mjimba wao eneo la Rosettenville Jijini Johannesburg, Afrika Kusini
-
Kufuatia mauaji hayo watu 5 walikamatwa na kushtakiwa kwa kuhusika na tukio hilo ambapo 3 waliachiwa huru baada ya kubainika hawana hatia
-
Wawili walijaribu kukimbi lakini walikamatwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela
 
Back
Top Bottom