capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Eti Tukijadiji Swala La MO Tunawazidishia Uchungu Familia Yake Hivyo Tuache, Najiuliza Wapi Familia Ya MO Ilisema Tukijadili Swala La Mtoto Wao Tunawazidishia Uchungu? Na Lugola Kateuliwa Lini Kuwa Msemaji Wa Familia Ya MO?
BTW Kwanini Serikali INAOGOPA Watu Kujadili Hili Swala?
Tumuundie kamati ya roho mbayaNumby anazingua sana wakati mwingine[emoji23][emoji23]