Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amejaa upendo!
Naweza kuandika madondoo yake muhimu na kuyaweka humu moja baada ya jingine?

Ila Wamisri wa kale walikuwa kiboko. Teknolojia yao naamini pengine ilipotezwa makusudi kwa sababu mpaka leo wanasayansi wanajipiga piga tu wanapojaribu kuelezea mapiramidi yalivyojengwa. Na makaburi ya mapharao yalivyochongwa kwa ustadi mpaka mawe yanaonekana kama vile yamekuwa fused kwa moto mkali!
 
Back
Top Bottom