Technology yao imepotezwa kwetu waafrica lakini wazungu na watu wengine weupe bado wanaitumia mubashara!Naweza kuandika madondoo yake muhimu na kuyaweka humu moja baada ya jingine?
Ila Wamisri wa kale walikuwa kiboko. Teknolojia yao naamini pengine ilipotezwa makusudi kwa sababu mpaka leo wanasayansi wanajipiga piga tu wanapojaribu kuelezea mapiramidi yalivyojengwa. Na makaburi ya mapharao yalivyochongwa kwa ustadi mpaka mawe yanaonekana kama vile yamekuwa fused kwa moto mkali!
AMUN RAAtukuzwe yeye awezaye kutenda mambo ya ajabu sana kupita yale tuyaombayo au tuyawazaypo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani mwetu Efeso 3:20
AiseeKwetu ndo jioni..... Jua linazama.....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
YupBado tunalisongeshaaaaaaaaa
AMUN RAUko vizuri mkuu
Yyy
TupoWangapi wapo macho nyoosha mkono tafadhali
[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
Tuna mshukuru Mwenye Enzi Mungu kwa kutupa uzima na afyaMmeamka salama?