Post marked.Kwa man u ya saiv kumpiga chelsea shughuli sana
Stress ni pale ulipo tengeneza tshirt kibao za BRING BACK MO ili uuze kwenye mechi ya simba na stand alafu MO kaonekena leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahahaStress ni pale ulipo tengeneza tshirt kibao za BRING BACK MO ili uuze kwenye mechi ya simba na stand alafu MO kaonekena leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila gym ndo bye byeee labda afanyie kwake