Toa upeweLike hizo vepee?? Mbona me sipewi??
Kompyuta haijakutambua!!!!Like hizo vepee?? Mbona me sipewi??
😂😂😂😂😂Mmmh yaan watekaji walimchukua MO dewji wakaturudishia MO salah. Jamaa wabayaaaaa
Kompyuta haijakutambua!!!!
Yeah this is so powerful
Kwani husumbui?? [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Una matatizo ujue[emoji23][emoji23][emoji23]
Binti MpoleWatu wawili wanaopendana na kuishi kila mmoja kivyake ni tofauti sana na watu wanaopendana na kuishi nyumba moja.
Wapo ambao hujiuliza inakuwaje wapenzi wawili waliokuwa wanapendana na kuwa na moto wa mapenzi wa kiwango cha juu sana wakianza kuishi pamoja mambo huanza kubadilika? Pia wapo ambao hukubaliana kwamba baada ya kuoana na kuishi pamoja watajitahidi sana kuhakikisha wanapendana kama mwanzo hata hivyo baada ya kuanza kuishi pamoja hujikuta wamekuwa dada na kaka na hakuna moto wa mapenzi tena.
Je umeshawahi kuishi pamoja na mtu???Watu wawili wanaopendana na kuishi kila mmoja kivyake ni tofauti sana na watu wanaopendana na kuishi nyumba moja.
Wapo ambao hujiuliza inakuwaje wapenzi wawili waliokuwa wanapendana na kuwa na moto wa mapenzi wa kiwango cha juu sana wakianza kuishi pamoja mambo huanza kubadilika? Pia wapo ambao hukubaliana kwamba baada ya kuoana na kuishi pamoja watajitahidi sana kuhakikisha wanapendana kama mwanzo hata hivyo baada ya kuanza kuishi pamoja hujikuta wamekuwa dada na kaka na hakuna moto wa mapenzi tena.
HahahahStress ni pale ulipo tengeneza tshirt kibao za BRING BACK MO ili uuze kwenye mechi ya simba na stand alafu MO kaonekena leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza ni ke au me mana hiyo post duuhToa upewe
Stress ni pale ulipo tengeneza tshirt kibao za BRING BACK MO ili uuze kwenye mechi ya simba na stand alafu MO kaonekena leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mo kapatikana. Mungu Amejibu sala zetu. Mungu ni mwema daima [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 904245
Farkhina umelala? Njoo huku tupige mbinja kusherehekea kupatikana kwa Mo. Na bro Capitalpool Ulikuwa umeishupalia sana hii ishu. Njooni tufurahi basi [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 904252
Akikujibu nitag bro [emoji16][emoji16][emoji16]Je umeshawahi kuishi pamoja na mtu???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]Kwani husumbui?? [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]