Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

AF29681E-B601-4F6D-AECA-D212B89D8122.jpeg
 
Uhuru wa kuhoji, kukosoa, kushauri nk ni adui kwa viongozi wa mataifa mengi Duniani,
Ni hulka ya binadamu. Hata wewe ukiwa na litoto hapo ndani kwako linakupinga na kukukosoa kwa kila jambo moyoni utakuwa unakwazika sana. Na yote haya yanapaliliwa na mfumo na utamaduni unaotawala katika jamii husika.
 
Back
Top Bottom