Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vijana twendeni TANU inaita Msumbiji tuka waokoe ndugu zetu!
Walahi
 
Uhuru wa kuhoji, kukosoa, kushauri nk ni adui kwa viongozi wa mataifa mengi Duniani,
Ni hulka ya binadamu. Hata wewe ukiwa na litoto hapo ndani kwako linakupinga na kukukosoa kwa kila jambo moyoni utakuwa unakwazika sana. Na yote haya yanapaliliwa na mfumo na utamaduni unaotawala katika jamii husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…