Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
AiseeeNdiyo,sisumbui[emoji41]
AiseeeNdiyo,sisumbui[emoji41]
Ukitaka usionekane Msouth ongea Kizaramo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hivi siku hizi ukiongea kilugha unakuwa msouth afrika??[emoji19][emoji19]
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Aiseee
Wengine waliotoweka wana pesa? This is Mo as in:
Naona unaniletea ujanja Ujanja au siyo[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ndiye atapewa ile bil 1 ama?Kuna nabii alisema alioteshwa kuwa mo alikuwa anatumia simu aina ya samsung[emoji19][emoji19]
Muvi jingine hevi litakujieni soon. Directors watakuwa wako bize wanapitia scripts...Director umetuacha njia panda bhana
Farkhina umelala? Njoo huku tupige mbinja kusherehekea kupatikana kwa Mo. Na bro Capitalpool Ulikuwa umeishupalia sana hii ishu. Njooni tufurahi basi [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 904252
Kivipi??[emoji23]Naona unaniletea ujanja Ujanja au siyo
Wengine waliotoweka wana pesa? This is Mo as in:
Mo Ibrahim
Mo Salah....
Unafikri angekuwa Muddy na siyo Mo angeshushwa Gymkana akapewa na simu ya kumpigia babake? [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nitakwambia sawaKivipi??[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Haya mambo yanafurahisha sana. Jeshi zima la polisi hakuna mbobevu wa forensics na ujasusi? Sasa ameonya nini? Watu wasiseme ama? Wabongo hawa hawa wasiseme?