Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Safi sana majambazi wetu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
HahahahaUmenikumbusha kawimbo furani ka miaka ile tukisoma.[emoji16] [emoji16] [emoji16] "Ooh TANU yajenga nchi"
Na mwenyewe pia ahojiwe. Isije ikawa pia anatuchezea akili. Kuna kujiteka ili kupunguza stress au kusogeza muda wa kulipa madeni ohooo. Landlord amekuwakia rent unawaambia masela wakuteke....Ni wakarimu mnoo, pia walimpa simu ampigie baba yake, nauli pia!
Nimeshatabiri. Mambo yakiendelea hivi Yego na Poti wake lazima watakuja kuongeleshana hapa [emoji16][emoji16][emoji16]Chelsea 1 Manchester 0 dakika ya 44
Hapa kidogo pia ni kuangalia kipingo ni nini, maana kuna watu wanazaliwa na vipaji vya hali ya juu na familia nyingi za kiafrika zinawagandamiza kwa sababu ya culture au uwivu.... wahindi na wadhungu, wachina wamegundua hichi kitu hivyo wanamsaidia huyo mtu ili afikishe malengo ya maendeleo walahiUkipingwa na kukosolewa mara kwa mara jitazame ikibidi ujirudi, vinginevyo utaumiza sana wanafamilia yako
Hivi mechi imeishaanza?Chelsea 1 Manchester u 0 halftime
Afadhali...Anaelekea nyumbani kwa Mo kumpa pole [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 904825
Ndiyo,sisumbui[emoji41]Kwani husumbui?? [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]