myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Nakusikia jirani. Itabidi mpaka FBI waje wajifunze kwetu kuhusu baadhi ya mambo. Hata mitambo mizuri ya HD CCTV waje wanunue huku. My country [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu hapa kwetu....achatu
Umenikumbusha kawimbo furani ka miaka ile tukisoma.[emoji16] [emoji16] [emoji16] "Ooh TANU yajenga nchi"Vijana twendeni TANU inaita Msumbiji tuka waokoe ndugu zetu!
Walahi
Kwetu sisi kila kitu chawezekana. Tuna watekaji wenye roho nzuri sana wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]Kwaiyo "Majambazi" Walipofika Gymkhana Wakaamuacha MO Dewji Kwenye Gari, Wakampa Na Simu Alafu Wao Wakaondoka Kwa Miguu Bila Wasiwasi Wowote?
Aisee Haya Mambo Haya!!
Ni hulka ya binadamu. Hata wewe ukiwa na litoto hapo ndani kwako linakupinga na kukukosoa kwa kila jambo moyoni utakuwa unakwazika sana. Na yote haya yanapaliliwa na mfumo na utamaduni unaotawala katika jamii husika.
Hapo sawa...Nimekuelewa...Kuna watu wana imani zao.
Waumini wengi wanaamini ulinzi wa wakweli unatoka kwa Mungu.
Kwa Waafrika ni wachache wenye uwezo wa kufanya hivyo kwa sababu siyo utamaduni wetu. Watu wababe kuanzia kwenye familia zao baba akisema ndo kasema hakuna kukohoa wala kutoa maoni. Halafu hawa hawa, zao la jamii hii hii, wakishika madaraka tunawategemea wawe wanademokrasia....Ukipingwa na kukosolewa mara kwa mara jitazame ikibidi ujirudi, vinginevyo utaumiza sana wanafamilia yako
Ni aibu na dharau kwa taifa letu.
Mkuu ndio maana bado tuna mbio za 'tochi' kuna wanaoona bado sana na kuna wanoona tumeerevuka😂😂😂Nakusikia jirani. Itabidi mpaka FBI waje wajifunze kwetu kuhusu baadhi ya mambo. Hata mitambo mizuri ya HD CCTV waje wanunue huku. My country [emoji1545][emoji1545][emoji1545]