Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahahahaha halafu nimemiss sana Yegomasika marahabaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukizaliwa unaitwa Mohammed ukipata hela unaitwa Mo ukiwa boya huna kitu unaitwa Muddy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfano Mo ibrahim Mo salah MO dewji....kama kweli ii
Mkuu ndio maana bado tuna mbio za 'tochi' kuna wanaoona bado sana na kuna wanoona tumeerevuka[emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuuuuu, Kumbe D Balali naye yungali hai.
Ni kweli, ila rahaja iliyotumika hapo siyo lazima usichana wake uwe "KIBELEKO" kinachopendwa sana na wanaume[emoji16] [emoji16] [emoji16] inawezekana jamaa amekutana hali furani iliyimuacha mdomo wazi[emoji16] [emoji16] [emoji16]