Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hekima ni ule uwezo wa mtu kutumia maarifa aliyonayo kwaajili ya kuleta matokeo chanya..
Si mara zote mtu huwa na hekima, kuna mahali hushindwa kutumia maarifa aliyonayo katika kutenda/kutatua jambo ili kuleta manufaa.
Mimi kupenda misambwanda ni dalili ya kuwa na hekima au hapana? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…