moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hekima ni nini?
Inawezekana kuwa na hekima wakati wote?
Hapana, kuna wakati yakupasa hekima uziweke kando mzee baba
Hekima ni nini?
Inawezekana kuwa na hekima wakati wote?
Wazungu halisi wenye asili ya Afrika na ambao hawajawahi ishi Afrika wala hawapajui.
Inatwa kufa kufaana, la lini mara paa maiti imefufuka, dili zote kwishiney[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Hivi ndo wanaiita goli kiki eeeh[emoji23]
Hahahaaaa asante mhengaKuna umri ambao kung'ang'ana na mke mmoja ni kudumaza akili
Kumbandua mdada big G iliyomnasa kwenye gauni lake[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Kunyandua ni nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kupenda kwako misambwanda hakuingilii hekima uliyonayo..
Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hahahahaha!!! Karibu.
Hivi yule Tai walimaanisha nini kamanda wetu? au ni ile hali ya kunyakuwa yeyote awaye popote alipo?Nembo ya Wamarekani hii. Ukiwa na natural resources wanazozitaka basi wanakuletea "demokrasia" yao....kwa nguvu
Kama wakati wa kufukuzia demu. Ukijifanya eti una hekima, misambwanda utaishia kuifaudu kwa macho tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hapana, kuna wakati yakupasa hekima uziweke kando mzee baba
Jamanii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna umri ambao kung'ang'ana na mke mmoja ni kudumaza akili