moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mreno haamini[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ndivyo ilivyo. Ni dunia ya kuachiana hii. Wengi walikuja wakavuma sana lakini leo hii wamebakia kwenye historia.Aseee, nadhani Dunia itashuhudia mbabe mwingine atakayekuja tikisa Ulimwengu huu
Halafu wewe[emoji115] View attachment 905411
Shauri yako tu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]