Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Hekima ni ule uwezo wa mtu kutumia maarifa aliyonayo kwaajili ya kuleta matokeo chanya..
Si mara zote mtu huwa na hekima, kuna mahali hushindwa kutumia maarifa aliyonayo katika kutenda/kutatua jambo ili kuleta manufaa.
Si mara zote mtu huwa na hekima, kuna mahali hushindwa kutumia maarifa aliyonayo katika kutenda/kutatua jambo ili kuleta manufaa.
Hekima ni nini?
Inawezekana kuwa na hekima wakati wote?