Hela ya shule a.k.a pocket money. hahahahaAisee!
Enzi hizo ukiwa nazo hizi 10 unanunua vitumbua viwili.
Najitahidi prof, natumai weekend inaisha vizuri kabisa.Sana! Yafaa kuzingatiwa.
[emoji23][emoji23]Akipotea tajiri anakutwa pale pale Dar, ukipotea masikini unakutwa Iringa kwa mpenzi wako...
Ndio broBro upo field hii pia.?
Sijambo!!Hujambo