Mimi nimejificha mabawani mwa Yesu hivyo siyumbishwi wala sitingishiki,
Maneno yasiyo na maana hayatatikisa IMANI yangu,
Nipo na YESU njiani salama vizingiti vyote vya shetani vimeshindwa,
Sihofu kitu maishani mwangu, SIMBA WA YUDA atanipa ushindi [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
♪♪♫♪♬♪♪
YESU haji kutokea Marekani, hatoki Ulaya hatui kwa ndege, atatokea mawinguni kwa furahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Na kila jicho litamuonaaaaaaaaaaaaaaaaaa..
♪♬♪♫♪♪♪♬♪
[emoji173]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.