Hahahaha kama ametoka nichane tu kamandaHahah pamoja sana aisee salamu zinafika
Ndio [emoji16][emoji16]Consuela ulienda ku party weekend hii? ??
Sijawahi kua na bahati ya kupoteza hivi viumbe kamanda, atakama ametoka basi atakua ametoka kwa muda. salamu zitafika pindi akirudiHahahaha kama ametoka nichane tu kamanda
He dropped out of Harvard; and not UDOM. Always remember that [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji16][emoji16][emoji16]
Next time unistue na mimi twende wote mkuu.Ndio [emoji16][emoji16]
Umesikia sad news kuhusu El classico whithout GOAT?Hahahaha kama ametoka nichane tu kamanda
Sawa ntakustuaNext time unistue na mimi twende wote mkuu.
Kale kajamaa kalikuja hapa kwa mbwembwe kakawapiga halafu kakaishia...Kajanja sana kale kakijana[emoji23][emoji23][emoji23] Wanasema kuna hela sana huko