Na watu nao hawaoni ukiweka likesJamani mbona sioni watu wakiweka likes au uzi imebadilika
Nilikua nimelala pombe za jana zimetaka kuniua, pombe za ofa siyo nzuri kabisaNa watu nao hawaoni ukiweka likes
pole sanaNilikua nimelala pombe za jana zimetaka kuniua, pombe za ofa siyo nzuri kabisa
Who's the lucky guy???I love you dangerously
Jamani mbona sioni watu wakiweka likes au uzi imebadilika
Daah hongera sana kamanda mimi sijawahi vishikilia mara nyingi vinapoteaSijawahi kua na bahati ya kupoteza hivi viumbe kamanda, atakama ametoka basi atakua ametoka kwa muda. salamu zitafika pindi akirudi
Kupendwa na binti wa Kiiraqw mweupe mrefu mrembo msomi mpole wifey material [emoji817] siyo kazi rahisi bro. The guy must be lucky ila shida sasa si ajabu utakuta yupo yupo tu taking things for granted.Who's the lucky guy???
Ahh mkuu hukumsikia FA kwenye banamu akisema "Kich*** akinikimbia mwache atarudi analia"?Daah hongera sana kamanda mimi sijawahi vishikilia mara nyingi vinapotea