Duh!!!but the asshole would eat its way through
his pants and start talking on the street...
Daaah bro muda mwingine binadamu tunapoteza sana, sasa utakuta nakomalia kusajiliwa kwenye ambayo kimsingi nitakuwa nawekwa benchi, Wakati kuna timu za kuanza first eleven.Kupendwa na binti wa Kiiraqw mweupe mrefu mrembo msomi mpole wifey material [emoji817] siyo kazi rahisi bro. The guy must be lucky ila shida sasa si ajabu utakuta yupo yupo tu taking things for granted.
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ulipachikwa jina la "kijana mpole" lakini sikuona ufuatiliaji wo wote. Unaniangushaga sana bro basi tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Daaah hongera sana kamanda wanguAhh mkuu hukumsikia FA kwenye banamu akisema "Kich*** akinikimbia mwache atarudi analia"?
Basi mimi huwa nasimamia hiyo dhana na kweli ndivyo inavyokua
Wewe umezijuaje sifa zote hizo??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kupendwa na binti wa Kiiraqw mweupe mrefu mrembo msomi mpole wifey material [emoji817] siyo kazi rahisi bro. The guy must be lucky ila shida sasa si ajabu utakuta yupo yupo tu taking things for granted.
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Ulipachikwa jina la "kijana mpole" lakini sikuona ufuatiliaji wo wote. Unaniangushaga sana bro basi tu [emoji16][emoji16][emoji16]
EeeUnacheka umeelewa Binti Mpole
HahahDaaah hongera sana kamanda wangu
[emoji35][emoji35][emoji35]
Hiyo timu ya kuanza first eleven ushaipata? Katika uvuvi kuna kanuni: unatega mitego huku na huko. Ukikosa huku unapata huko. Kwenye investments pia ni hivyo hivyo (diversification). Unaweka mayai yote kwenye kapu moja likitokea la kutokea unajikuta huna timu unaimba parabo aloni...Daaah bro muda mwingine binadamu tunapoteza sana, sasa utakuta nakomalia kusajiliwa kwenye ambayo kimsingi nitakuwa nawekwa benchi, Wakati kuna timu za kuanza first eleven.
Embu ni brief kidogo na mimi nipate ABC