Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
[emoji15]
Mbona mapema??WAKUU USIKU MWEMA
STAY SAFE AND BLESSED
Mzee wa HATUPOI ndo kawazidi vijana wote machachari humu? Sikubali [emoji16][emoji16][emoji16]ZOPPA
Hahahah unafinywa kwa ndaniWanaoyajua haya mambo ya misuli utachezeshwa weee unafinyiwa mumo kwa mumo unabanwa na kuachiwa ukimuvu tu kidogo unabanwa na kuvutiwa ndani zaidi aisee kama uko emoshono unajikuta chozi linakumwagika wallahi [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ooooh!! Sikujua AISEE!Ni kanuni ya jumla ya maisha. Nenda hata Serengeti ukaone. Ukihudhuria semina za Warren Buffet msisitizo ni diversification...
Na wanawake nyie diversification zenu ndo hatari zaidi....
Hahhaa inabidi ukubali tu BroMzee wa HATUPOI ndo kawazidi vijana wote machachari humu? Sikubali [emoji16][emoji16][emoji16]
Huku nilipo mkuu ni saa 8 usikuMbona mapema??
Ndiyo mkuu. Ilboru sitapasahauKumbe we ni mzee wa ilboru.. Hongera
Hakuna kitu inapungua bro, sema ni kweli mahala popote huwezi kumridhisha na kumfurahisha kila mtuBro mbona kawaida tu? Kwani mtu akikutia kwenye iginoa listi kuna kitu unapungukiwa?
Sikubali. Tomaso miye !!!Hahhaa inabidi ukubali tu Bro
Wewe umezijuaje sifa zote hizo??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
...Mzee wa HATUPOI ndo kawazidi vijana wote machachari humu? Sikubali [emoji16][emoji16][emoji16]
Habari za jumapili