Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Most comedy is based on getting a laugh at somebody else's expense. And I find that that's just a form of bullying in a major way. So I want to be an example that you can be funny and be kind, and make people laugh without hurting somebody else's feelings.
 
Trust is hard to come by. That's why my circle is small and tight. I'm kind of funny about making new friends
 
Huko mnakoelekea siko kwenyewe sasa. Na waliojichanganya wakaonyesha vidole vyao kazi wanayo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ushoga sasa ni ajenda ya dunia nzima na washenzi hawa wanatafuta kila njia ya kuuhalalisha. Hata tafiti hizi uchwara ni matokeo ya ajenda hizo hizo. Wamekazana sasa kwenye media kila show mpaka katuni za watoto ni lazima ukutane na wahusika mashoga na wasagaji yote haya kufanya mambo haya yaonekane ya kawaida. Ukijaribu kupitisha sheria za kupinga haya mambo kama walivyojaribu Uganda na Malawi wanatishia kukunyima misaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…