Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli kabisa..
 
Kwasababu ya uhusiano kati ya kiasi cha homoni na utofauti katika urefu wa vidole, kuagalia mkono wa mtu kunaweza kukudokeza jinsia zao".

Matokeo hayo yamechapishwa katika hifadhi ya Tabia za mahusiano ya kingono.
Carba, hebu gusia kama kuna uhusiano wa urefu wa vidole na ujazo wa lile umbile.
 
Hawa watafiti sijui wanashida gani[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanataka kutupa kazi ya kukaguana vidole kabla hujakubali tongozoView attachment 906570
Na mmetunza hizi picha kwa makusudi gani hasa. Yaani ni shwaiiiini mpaka kesho na kesho kutwa...

Hebu weka na ile mikono iliyoshika external hard drive tuangalie [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…