Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,236
Nimecheka Wallah laadhiim...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 907152
Nimecheka Wallah laadhiim...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 907152
Kituo chake cha kazi labda...Hivi jirani huko makaburini huwa unashida nako gani hasa?
Au kuna kitu ulipoteza?[emoji16][emoji16]
Nguvu za kiume ni nini?
Na zinakaaga wapi?
miss u mnooDaah
Lisingekuwepo kusingekuwa na mabango kila kona...Ni tatizo la kisaikolojia zaidi nadhani. Yaani vu bin vu konokono wa moto huyu hapa kanona ndani ya utelezi adimu na mmiliki wake umemchochea amewaka sawasawa hajitambui lakini netiweki haikamati duh! Aibu sana ng'wanawane [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]ILI TATIZO LIPO KWELI BRO MIMI SIJAWAHI KUTANA NALO KABISA
Kula vizuri, kuwa na afya njema hasa hasa cardiovascular system, kufanya mazoezi na kuwa sawa kisaikolojia (no depression) na mengineyo...Tiba yake ni nini?
It will happen bro. Just wait and see. Let's talk after you hit 55+I have never encounter such problem in my life let ask bro SHIMBA I think he will have the appropriate answers
na hapa ndipo wabongo wengi tunafeliKula vizuri, kuwa na afya njema hasa hasa cardiovascular system, kufanya mazoezi na kuwa sawa kisaikolojia (no depression) na mengineyo...