Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuombe iwe hivyo...

Na siku mtu ukifanikiwa kumdabua huyu bageshi na ujanja wake huu dah! Ila ndiyo hawa unampania weee siku ya siku umemkamata netiweki holaaaa hakuna antenna [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo itakuwa deepest Fear inabidi ukimkamata unamkamata kipindi ambacho una ukame kweli
 
Eat well...

Exercise...

Don't smoke....

Die anyway [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Eti living vigorously. Ingekuwa ni kweli ungekosa kuja Gold Crest ili kuona mambo vigorous?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna saa najipenda mie
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo itakuwa deepest Fear inabidi ukimkamata unamkamata kipindi ambacho una ukame kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukame kweli eeeh!? Ukame sometimes unaweza pia ukakufanya ukawa na papara ukaishia kujiaibisha...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hiyo itakuwa deepest Fear inabidi ukimkamata unamkamata kipindi ambacho una ukame kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
B02811DA-95FF-4DA0-9F39-70C4BD61EF21.jpeg
 
Inakuwaje watu wawili waliopendana deep idara zote inafika siku wanakuwa baridi na wanajiona ni watu wawili tofauti kabisa kwenye ndoa yao?

Kuna mambo mengi sana husababisha kuanzia na yale yaliyo ndani ya ndoa yao na yale yaliyo nje ya ndoa yao hata hivyo ukweli love is so terrible and is so important, kuna wakati mwingine mpenzi (mke au mume) anaweza kukupa au kukunulia gari au kukujengea nyumba ya uhakika lakini bado ikawa haina maana kama hatatimiza mambo ya msingi kuhusiana na upendo wake kwako.
 
Back
Top Bottom