Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kweli kabisa yaani. Halafu tunakata njia za mkato eti vumbi la Kongo au haya maviagra kumbe mara nyingi tatizo lenyewe ni dalili tu za tatizo halisi tulilonalo. Unakuta mtu moyo wake hauko sawa na hivyo hausukumi damu ya kutosha hata akisisimka. Sasa badala ya kuchunguza kuona kiini cha tatizo ni nini anaamua kupita short cut ya viagra au mikisicha ya Red Bull na jibapa. Matokeo yake anaishia kumtajirisha Shigongo tu na magazeti yake "Njemba Yazimika Guest House. Demu Atokomea Kusikojulikana.."na hapa ndipo wabongo wengi tunafeli
Sisi tumekuheshimu tukakusubiri gold crest lakini wapi haukutokeaHESHIMA ni kitu muhimu. Kuna mastaa waliofanya mambo makubwa katika soka ambayo yamesababisha kustaafu kwao, au kupoteza kwao maisha kumepelekea jezi zao zistaafishwe kama heshima maalumu kwao. Hawa ni baadhi ya mastaa ambao jezi zao hazitumiki tena klabuni.
Dont forget ur slogan broooKweli kabisa yaani. Halafu tunakata njia za mkato eti vumbi la Kongo au haya maviagra kumbe mara nyingi tatizo lenyewe ni dalili tu za tatizo halisi tulilonalo. Unakuta mtu moyo wake hauko sawa na hivyo hausukumi damu ya kutosha hata akisisimka. Sasa badala ya kuchunguza kuona kiini cha tatizo ni nini anaamua kupita short cut ya viagra au mikisicha ya Red Bull na jibapa. Matokeo yake anaishia kumtajirisha Shigongo tu na magazeti yake "Njemba Yazimika Guest House. Demu Atokomea Kusikojulikana.."
Alijivunjia heshima sana siku ile bro. Bila shaka next time hatarudia tena [emoji16][emoji16][emoji16]Sisi tumekuheshimu tukakusubiri gold crest lakini wapi haukutokea
Mmmmh coleee,mlikua wangapi?Sisi tumekuheshimu tukakusubiri gold crest lakini wapi haukutokea
Daaah kumbe nilikwepa kimdabuo cha maana hahahahahaAlijivunjia heshima sana siku ile bro. Bila shaka next time hatarudia tena [emoji16][emoji16][emoji16]
Dont forget ur slogan brooo
At the end u will die anyway
I take it serious living vigorously no diet,gym etc kama siku imefika imefika tu
Yeah nina hakika next hawezi vunja heshimaAlijivunjia heshima sana siku ile bro. Bila shaka next time hatarudia tena [emoji16][emoji16][emoji16]
Wawili Tu,Mmmmh coleee,mlikua wangapi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi jirani huko makaburini huwa unashida nako gani hasa?
Au kuna kitu ulipoteza?[emoji16][emoji16]
Basi niliwaona watatu sasa mbona mmoja unampunguza[emoji23][emoji23][emoji23]Wawili Tu,
Tuombe iwe hivyo...Yeah nina hakika next hawezi vunja heshima
Kapoti pia kalisema kalikuwa njiani [emoji16][emoji16][emoji16]Wawili Tu,
Afadhali mkuu maana ilikua hatariKeshaokoa...
View attachment 907292
Ulikuwa kwenye hilo group?Afadhali mkuu maana ilikua hatari