Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
862a9f3b-bef2-4a11-be28-71df06318ac7.jpeg
 
Kuna kipindi nilimuuliza mtu, ni kitu gani kinakufanya uwe na furaha, alinielezea jinsi tabia ya furaha inavyoleta usawa ndani ya mwili na akili ya mtu. Tunapokuwa na furaha tunapata afya njema . watu husema tuna ng’aa, ni kweli, tunahisi kama tunang’aa!

Kujisikia huna afya au mgonjwa ni moja ya sababu watu kujisikia wameshushwa moyo , wana huzuni, wana changanyikiwa na hata kuwa na hasira. Dalili za mwili zinaweza kuumiza kichwa , kuumwa na maumivu, tumbo au matatizo ya utumbo, kwenye mwili na kuhisi uchovu.
 
Hizi aina ya misongo hutokea kwa watu maishani mwao kila siku na kwenye afya zao. Kwa hio tutaondoaje haya matatizo ili kuongeza furaha yetu na ustawi wa afya?

Zaidi ya kazi za ubongo inasukumwa na njia ya kula vyakula vyenye mlo kamili vyenye amino acid . Na hii ni pamoja na mtu kujisikia vizuri , homoni kukaa sawa, na ni pamoja na kulala, hali, hamu ya kujamiana, hamu, na tabia za kijamii.
 
1.Kula Whole Foods Kwa Moyo Wenye Furaha.

Baadhi ya vyakula , hasa vile vyenye vitamini na madini , vinaweza kukufanya ujisikie vizuri , sio katika kujisikia vizuri bali huweka sawa homoni zako. Kula mlo kamili,mlo wa vyakula kamili vya nafaka kiasi kidogo cha vyakula vinavyotokana na wanyama ni moja ya chombo kinachotunza hisia nzuri.

Mafunzo yanaonyesha kuwa baada ya vyakula vyenye tryptophan vinapopungua mwilini vinaweza kuleta kutoelewana katika mahusiano mazuri na kuhukumiana wenyewe, kwa hio jitahidi kupata mlo kamili ili kuepuka matatizo na mwenza wako.



Kula mlo wenye mkusanyiko wa mboga za majani na matunda kama nanasi, pamoja na maharage ya soya, oti meal, chia seeds karanga, samaki na dagaa. Epuka sukari, maziwa na vyakula vya viwandani.
 
2.Fanya Mazoezi Kwa Furaha Ya Mwili.

Mazoezi yanaweza kusaidia kuboresha hali nzuri na kuamsha kiasi cha Serotonin.

Mazoezi ya kawaida pia hukufanya ujisikie vizuri zaidi katika mwili wako, na yanasaidia kupunguza msongo wa mawazo. Kuwa katika hali ya msongo wa mawazo utasababisha mwili kutoa adrenalin na cortsol, vinavyoleta hali ya magonjwa na kuondoa muunganiko .

Hivi hutokea mara nyingi wakati ukiwa kwenye hali ya kutishiwa , kuogopeshwa . kwa hio acha misongo fanya mazoezi kila mara ili uwe na furaha na mwili usiokuwa na magonjwa ya madogo madogo
 
3.Pata mwanga wa jua kwa ajili ya furaha ya nafsi.

Toka nje.

Mwanga wa jua hufurahisha na kukufanya uwe na nguvu,kwa sababu unaongeza serotonin kwenye ubongo . hasa jua la asubuhi , hata kama upo kazini jitahidi kupata jua la asubuhi . unapojisikia umechanganyikiwa , nenda nje tembea, huko utajisikia tofauti maana utakutana na vitu mbalimbali na watu , mbalimbali.
 
4.Kwa ajili ya furaha ya ubongo ,

Hakikisha unapata vutamini madini, na vidonge vya kuongeza homoni mwilini, kila asubuhi kama utaweza , vinasaidia kujaza ubongo na kurutubisha immune system yako . kwa ujumla kiakili na kimwili vitakaa sawa . na pia vitakusaidia na kila hali utakayokutana nayo katika mazingira yoyote yale , ya ugonjwa, ya huzuni, ya kuchanganyikiwa kwa sababu ya mambo mengi.

Kujisikia mtu mwenye afya ni kuwa na maana ya Ulimwengu kupata mtu imara na mwenye nguvu. Na sio tu kimwili bali pia kiakili na kihisia , na ni hivyo vitu vitatu ambavyo vinakufanya uwe na afya ya ukweli.



Kuwa na afya nzuri ya mwili itakusaidia kufanya kazi vizuri na hata maisha yako binafsi yatakuwa mazuri.
 
Klabu ya Bacelona inajiandaa na mechi mbili ngumu ambapo kwa mara ya kwanza watamkosa nyota wake Lionel Messi katika safu ya ushambuliaji.
Messi ameonekana kwa mara ya kwanza akiwa ametinga bandeji ngumu aliyowekewa kutokana na majeraha aliyopata baada ya kuvunjika mkono.
Mshambuliaji huyo wa Barcelona alivunjika mkono wa kulia wakati Barceloana ikishinda kwenye mechi yake ya Jumapili iliyopita dhidi ya Sevilla.
Taarifa za madaktari zinaeleza kwamba, huenda mchezaji huyo akazikosa mechi sita katika mashindano yaliyopo mbeleni, lakini jambo kubwa ni kukosekana kwenye mechi ya El Clasico.
 
Kuumia kwa Messi kunakiweka kwenye wakati mgumu kikosi cha kocha wa Barceloana, Ernesto Valverde ambaye hata hivyo awali alisema kwamba ni mara kadhaa Messi hakuanza kwenye kikosi hicho na wachezaji walikuwa na kasi ya kawaida.
Messi mwenye miaka 31, msimu huu tayari ameshafunga mabao 12 katika mashindano yate aliyocheza ikiwa ni mara mbili ya nyota Ousmane Dembele mwenye mabao matano hadi sasa.
 
Nyota wa Arsenal, Shkodaran Mustafi amejikuta akishindwa kujizuia furaha yake baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Leicester City katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa jana Jumatatu usiku.
Mustafi alionekana kwenye video akicheza akiwa amevua bukta yake katika chumba cha kubadili nguo. Nyota huyo alikuwa amebakiwa na nguo ya ndani pekee, huku akipewa sapoti na wachezaji wanzake.
Alex Iwobi ambaye aliibuka kinara kwenye mchezo huo, naye alionekana akicheza na akiwa ameshika zawadi yake aliyokabidhiwa jana.
 
Ushindi huo wa Arsenal umepokewa vyema na mashabiki wao kutokana na kujihakikishia michezo yake iliyocheza hivi karibuni kutopoteza. Nyota wa mchezo huo wa jana, Alex Iwobi alimtunuku baba yake zawadi aliyoipokea kutokana na kuibuka kinara kwenye mchezo huo wa jana Jumatatu.
Ushindi huo wa jana umeendeleza kasi ya kocha Unai Emery ya kutopoteza michezo ambayo kikosi chake kimeshuka dimbani hivi karibuni.
Mabao ya Arsenal yalifungwa na Mesut Ozil (45’), Pierre –Emerick Aubeyang (63’ na 66’)
 
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema timu hiyo bado haina uwezo wa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Guardiola ambaye vijana wake leo wanaikaribisha Shakhtar Donetsk, alisema licha ya kiu kubwa waliyonayo mashabiki wa timu hiyo wanapaswa kuvuta subira ili kufikia mchakato wa kutwaa ubingwa huo.
Aliyasema hayo wakati akielezea maandalizi ya mechi yake ya leo itakayopigwa ugenini dhidi ya Shakhtar Donetsk ya Ukraine.
 
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema timu hiyo bado haina uwezo wa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Guardiola ambaye vijana wake leo wanaikaribisha Shakhtar Donetsk, alisema licha ya kiu kubwa waliyonayo mashabiki wa timu hiyo wanapaswa kuvuta subira ili kufikia mchakato wa kutwaa ubingwa huo.
Aliyasema hayo wakati akielezea maandalizi ya mechi yake ya leo itakayopigwa ugenini dhidi ya Shakhtar Donetsk ya Ukraine.
 
Back
Top Bottom