Watu wenye wasiwasi na afya wana hatari ya kupata ugonjwa wa moyo, kuwa na mawazo mengi, afya ya saikolojia ni tiba ilio bora sana.
Watu wengi huwa na furaha endapo matokeo ya kipimo yatakuwa negative…lakini kwa asilimia kubwa wengi hupata nafuu, na wengine hawapati nafuu kabisa. Kama una wasiwasi na afya yako , hakuna kipimo cha ukweli kitakachokuhakikishia wewe.
unaweza ukatafuta sehemu zote na usipate kwa ajili ya dalili ulizonazo.
Ukweli ni kwamba , wasiwasi wa afya yako utaufanya mwili wako uugue. watu wenye wasiwasi wana nafasi kubwa ya kuendelea magonjwa ya moyo kwa miaka kumi na zaidi, ukilinganisha na wale ambao hawana wasiwasi.