Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama huwa unafanya vipimo mara nyingi na huna uhakika na matokeo , tegemea kwamba una hali ya kuwa na ugonjwa wa wasiwasi.

Tafuta msaada wa kisaikolojia haraka ili uepukane na matatizo mengine.
 
Majambazi 6 nchini Ubelgiji wamepewa jina la ‘Majambazi Wajinga’ kwani walipoenda kuiba kwenye duka moja nchini humo mwenye duka aliwaambia warudi baadae ndio atakuwa na fedha na waliporudi baadae badala ya kupatiwa fedha walikamatwa na Polisi.
 
IMG_20181016_122652.jpg
 
Kifaa kinachosadikiwa kuwa ni mlipuko kimebainika katika nyumba ya Bill na na Hillary Clinton leo hii, maafisa wa sheria wameiviambia vyombo vya habari nchini Marekani.

Aina ya kifurushi kinachoshukiwa kimetaarifiwa kutumwa pia katika ofisi za rais wa zamani wa Marekani Barack Obama.
 
Ni siku mbili baada ya bomu kurushwa katika nyumba ya mfadhili na mshauri wa mambo ya fedha George Soros huko mjini New York.

Clinton ambaye ni rais wa zamani wa Marekani na mke wake Bi.Clinton ambaye aliwania urais mwaka 2016.
 
Taarifa zilizoripotiwa na New York Times zimesema kwamba kitu hicho kilibainika kuwa kinalipuka baada ya fundi kukifanyia uchunguzi.

Kifaa hicho kiliacha kilomita 65 kaskazini mwa mji wa New York.
 
Haijawekwa wazi kuwa kifaa hicho kinachotiliwa shaka kilionekana wapi.

Hata hivyo msemaji wa Obama amekana kuwepo kwa tukio hilo na kuwataka waandishi kushirikiana na idara ya huduma ya maelezo ya siri.

Maafisa wakuu wa White House wameiambia NBC kwamba rais Donald Trump tayari ameshapata taarifa kuhusu jambo hilo.
 
Back
Top Bottom