Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bonde la mto Ruvu, msitu wa Vikonge Morogoro
FB_IMG_1539964918508.jpg
 
Mto Mara kama ilivyo mito mingine ni mkusanyiko wa mito na vijito kadhaa, lakini sijaufuatilia sana.
Hata hivyo Mbuga na mapori yote hapa nchini ni kusanyiko kubwa la maji, miti na wanyama. Nadhani maji hayo yakikauka humo, tunapoteza kila kitu. Porini huko kuna mito mikubwa, badhi yake vyanzo vyake vipo huko huko na inaishia kwenye mito mingine humo humo porini, ambayo nayo inakusanya maji na kuyamwaga ziwani au baharini.

Mara ya mwisho nilipewa maelezo haya na Guide mmoja nikiwa serengeti,

Kwamba mto huu Masai mara kwa asili unafanya uwiano wa idadi ya wanyama wala nyasi hasa punda milia nyumbu/nyati n.k.

Alisema wanyama wanapo hama kukatizaq mto Masai mara, ni asilimia 50% tu hufaulu kuvuka! Wengine wote huwa chakula ya mamba na kiboko mtoni.

Kipindi hicho ni kipindi ambacho wanyama hao kwa kiasi kikubwa ni wajawazito/wana mimba, kwa hivyo ile 50% ilovuka mto huzaliana tena ku-cover idadi ya wanyama walioshindwa kuvuka Masai mara.

Huu mto unastory nzuri kuskia na matokeo chanya kwa viumbe wote, yaani wa nchi kavu na wale waishio majini kama mamba na kiboko.
 
Kifaa kinachosadikiwa kuwa ni mlipuko kimebainika katika nyumba ya Bill na na Hillary Clinton leo hii, maafisa wa sheria wameiviambia vyombo vya habari nchini Marekani.

Aina ya kifurushi kinachoshukiwa kimetaarifiwa kutumwa pia katika ofisi za rais wa zamani wa Marekani Barack Obama.
The Obamas, the Clintons, George Soros and CNN...all targeted...mabomu na bahasha pia zenye unga mweupe (Anthrax?)
 
Back
Top Bottom