Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji257][emoji257]
Screenshot_2018-09-14-12-27-26-1.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanaume kuuwa nyoka kwa fimbo,panga huo ni ushoga.[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mwanaume inatakiwa unakamata nyoka unaweka kwenye boksa wakapambane na nyoka mwenzie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanaume kuuwa nyoka kwa fimbo,panga huo ni ushoga.[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mwanaume inatakiwa unakamata nyoka unaweka kwenye boksa wakapambane na nyoka mwenzie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha

Dont try this at home!
 
Sijui ulienda wakati gani, navyojua mnyama ambaye ni rahisi sana kumpata ni simba na wanyama ambao ni wagumu sana kuwapata ni chui na mamba. Hata hivyo kibali cha uwindaji na wanyama utaowawinda pia hutegemea una siku ngapi za kuishi porini. Mara nyingine hutokea mkiwa porini mtakutana na wanyama wote lakini akifika mgeni mtawasaka wanyama msiwaone.
Kutengeneza Zoo porini haiwezekani, zoo zina athari za kiafya kwa wanyamapori

Nayapenda majibu yako Chief, nashukuru sana.
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Zoo mi naonaga kama vile ni ubabe tu wa binadamu. Sasa imagine eti unamtoa simba hapo hapo Serengeti halafu unamtia kwenye zoo hapo hapo kisa unafurahisha mtalii wa Marekani aliyekuja kwa siku moja.
Kwa nchi kama Tanzania kuweka zoo porini ni kutojitendea haki wenyewe na kuwaweka wanyama hatarini. Tanzania ina wanyama wa kutosha mgeni wa siku kuanzia 14 anaweza kuwaona wanyama wengi tu
 
Happy day to all slay queens who are dating men older and uglier than Kijeketile Ngwale. How can you sleep with monsters[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]do you even fear death?[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Nashangaa mademu wa hii group tu ndo hawanitambui kaa shujaa group zile zingine nimechoka na kutype thanks kwa vile wote wananiambia mimi ni shujaa...but why not here? [emoji848][emoji848]* [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2439][emoji2439][emoji2439][emoji2439]
 
Back
Top Bottom