Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha

Dont try this at home!
 

Nayapenda majibu yako Chief, nashukuru sana.
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Zoo mi naonaga kama vile ni ubabe tu wa binadamu. Sasa imagine eti unamtoa simba hapo hapo Serengeti halafu unamtia kwenye zoo hapo hapo kisa unafurahisha mtalii wa Marekani aliyekuja kwa siku moja.
Kwa nchi kama Tanzania kuweka zoo porini ni kutojitendea haki wenyewe na kuwaweka wanyama hatarini. Tanzania ina wanyama wa kutosha mgeni wa siku kuanzia 14 anaweza kuwaona wanyama wengi tu
 
Happy day to all slay queens who are dating men older and uglier than Kijeketile Ngwale. How can you sleep with monsters[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]do you even fear death?[emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
*Nashangaa mademu wa hii group tu ndo hawanitambui kaa shujaa group zile zingine nimechoka na kutype thanks kwa vile wote wananiambia mimi ni shujaa...but why not here? [emoji848][emoji848]* [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2439][emoji2439][emoji2439][emoji2439]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…